Bei ya Toyota Noah

Bei ya Toyota Noah kwa makadirio inaanzia TZS 15,000,000 na itategemeana zaidi na toleo la gari. gari hizi ni pendwa sana kwa safari za kifamilia na hata biashara.

Toyota
20. May 2023
673 views
Bei ya Toyota Noah

Toyota Noah ni gari dogo lenye milango miwili ya nyuma ya kuteleza iliyoTengenezwa na Toyota na kuuzwa hasa katika nchi za Asia na africa. Gari hii inataka ktfanana na Estima, Alphard, au Sienta. Gari hii inatumia mfumo wa 2 Wheel drive yaani magurudumu ya mbele ndio yanayo fanya kazi.

Sifa za Toyota Noah

Make TOYOTA
Model NOAH
Body Type WAGON
Year of manufacture 2004
country JAPAN
Engine capacity 1501 - 2000 CC
Fuel type PETROL
price in Tanzania TZS 15,000,000

Ni muhimu kuzingatia kuwa gharama ya gari inategemea mambo mengi, pamoja na sifa, ubora, teknolojia, na mahitaji ya soko. Kabla ya kununua gari, ni vizuri kufanya utafiti na kulinganisha bei na sifa za magari tofauti ili kufanya uamuzi sahihi kulingana na mahitaji yako binafsi.

Soma pia: Bei ya Toyota Alphard

je unahitaji kununua gari aina ya Toyota Noah sasa umeshapata bei yake unaweza kutembelea tovuti ya magaribeipoa.com kuchagua gari unayo itaka

Comments

No comments has been added on this post

Add new comment

You must be logged in to add new comment. Log in
Im Ibrahim a multifaceted individual with a passion for cars, SEO, and marketing. Ibrahim is an Expert in the Automotive sector.
Cars, Marketing, SEO
Categories
Toyota
Find all information including price, information and news about Toyota cars
guides
car guides
Updates
Resources
You will find downloadable resources in this category, Mostly PDFs
Questions
Get quick answers to all your questions
Lately commented
Thank you
UBOS Census recruitment 2024 U...
SO NICE
UBOS Census recruitment 2024 U...
I like the website so much
UBOS Census recruitment 2024 U...
Tanga mjini gharama ya kuvuta maji shingap
Gharama za kuvuta maji 2024 | ...
Are you a professional seller? Create an account
Non-logged user
Hello wave
Welcome! Sign in or register