jinsi ya kuangalia deni la gari Na kulipia

jinsi ya kuangalia deni la gari pamoja na kulipia deni hilo kwanjia ya simu.

guides
12. Feb 2023
10626 views
jinsi ya kuangalia deni la gari Na kulipia

Kama wewe ni muendeshaji wa vyombo vya moto ikiwemo magari basi utakua umesha wahi kufanya Makosa barabarani kama kutokutii sheria za barabarani na kutakiwa kulipia fine.  Sasa nakala hii itakuwezesha wewe msomaji kujua jinsi ya kuangalia deni la gari Pamoja na kulipia deni hilo kwanjia ya simu.

 

Jinsi ya kuangalia deni la gari

Kuangalia deni la gari ni rahisi sana unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua tulizo ziorodhesha hapo chini

  • Hakikisha kifaa unachotaka kuangalia deni la gari kama simu, computer kina Bundle 
  • Baada ya hapo uta enda kwenye Tovuti ya TMS check, kama inavyo onekana hapo chini
  • Kwenye service utachagua Licence 

 

Jinsi ya kulipia deni la gari

Utaingiza Taarifa za gari yako mfano plate number T 123 XYZ

Jinsi ya kulipia Deni la Gari kwa Simu

Natumai umeshafanikiwa kuangalia kwenye mfumo kama unadaiwa au huna deni, na kama unadaiwa basi hatua zifuatazo zitakuwezesha kulipia deni hilo 

Kuangalia deni la gari ni rahisi sana unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua tulizo ziorodhesha hapo chini

  • Unaweza kulipia kupitia Mitandao ya simu kama Mpesa, Tigo pesa au Huduma za kibenki
  • Chagua Lipia Bili
  • Kisha utajaza namba ya kampuni 001001
  • Weka kumbukumbu Namba

NB: Kumbukumbu namba utaipata baada ya kujaza taarifa za Gari yako kwenye Mfuno wa TMS check na utapatiwa Reference/kumbukumbu namba pamoja na kiasi cha deni unacho daiwa.

Hakikisha unajaza Taarifa sahihi za Gari unalotaka kujua deni kwa msaada zaidi unaweza kucomment hapo chini nasi tutakusaidia au tembelea tovuti ya www.tpf.go.tz kwa msaada zaidi

 

Comments

No comments has been added on this post

Add new comment

You must be logged in to add new comment. Log in
Im Ibrahim a multifaceted individual with a passion for cars, SEO, and marketing. Ibrahim is an Expert in the Automotive sector.
Cars, Marketing, SEO
Categories
Toyota
Find all information including price, information and news about Toyota cars
guides
car guides
Updates
Resources
You will find downloadable resources in this category, Mostly PDFs
Questions
Get quick answers to all your questions
Lately commented
Thank you
UBOS Census recruitment 2024 U...
SO NICE
UBOS Census recruitment 2024 U...
I like the website so much
UBOS Census recruitment 2024 U...
Tanga mjini gharama ya kuvuta maji shingap
Gharama za kuvuta maji 2024 | ...
Are you a professional seller? Create an account
Non-logged user
Hello wave
Welcome! Sign in or register