Simba na yanga nani mwenye makombe mengi

Kutokana na rekodi tulizo nazo Yanga ndio timu yenye Makombe mengi nchini Tanzania ikiwa na makombe zaidi ya 27, kuna baadhi ya vyanzo pia vina sema toka timu ilipoa anza kucheza ina makombe zaidi ya 80. huku simba sc ikiwa na makombe 21 tu.

Questions
26. Apr 2023
6344 views
Simba na yanga nani mwenye makombe mengi

Kama ilivyo utaratibu kwamba timu inapo fanya vizuri basi huzawadiwa kombe ama kwa kiingereza wanaita Trophy sasa mahasimu wawili simba na yanga wengi wangependa kufahamu ni timu ipi ina makombe mengi zaidi kumshinda mwenzake.

Timu Inayoongoza Kwa Makombe Mengi Tanzania

Timu inayoongoza kwa makombe mengi Tanzania, ligi kuu ni yanga sc

Rekodi za ushindi wa makombe simba na yanga

mshindi mkoa Ligi kuu
Simba S.C Dar es Salaam 1965
Simba S.C Dar es Salaam 1973
Simba S.C Dar es Salaam 1976
Simba S.C Dar es Salaam 1977
Simba S.C Dar es Salaam 1978
Simba S.C Dar es Salaam 1979
Simba S.C Dar es Salaam 1980
Simba S.C Dar es Salaam 1984
Simba S.C Dar es Salaam 1990
Simba S.C Dar es Salaam 1994
Simba S.C Dar es Salaam 1995
Simba S.C Dar es Salaam 2001
Simba S.C Dar es Salaam 2003
Simba S.C Dar es Salaam 2004
Simba S.C Dar es Salaam 2009–10
Simba S.C Dar es Salaam 2011–12
Simba S.C Dar es Salaam 2017–18
Simba S.C Dar es Salaam 2018–19
Simba S.C Dar es Salaam 2019-20
Simba S.C Dar es Salaam 2020–21
Simba S.C. Dar es Salaam 2007
Sunderland Dar es Salaam 1966
Yanga S.C Dar es Salaam 1968
Yanga S.C Dar es Salaam 1969
Yanga S.C Dar es Salaam 1970
Yanga S.C Dar es Salaam 1971
Yanga S.C Dar es Salaam 1972
Yanga S.C Dar es Salaam 1974
Yanga S.C Dar es Salaam 1981
Yanga S.C Dar es Salaam 1983
Yanga S.C Dar es Salaam 1985
Yanga S.C Dar es Salaam 1987
Yanga S.C Dar es Salaam 1989
Yanga S.C Dar es Salaam 1991
Yanga S.C Dar es Salaam 1992
Yanga S.C Dar es Salaam 1993
Yanga S.C Dar es Salaam 1996
Yanga S.C Dar es Salaam 1997
Yanga S.C Dar es Salaam 2002
Yanga S.C Dar es Salaam 2005
Yanga S.C Dar es Salaam 2006
Yanga S.C Dar es Salaam 2007–08
Yanga S.C Dar es Salaam 2008–09
Yanga S.C Dar es Salaam 2010–11
Yanga S.C Dar es Salaam 2012–13
Yanga S.C Dar es Salaam 2014–15
Yanga S.C Dar es Salaam 2015–16
Yanga S.C Dar es Salaam 2016–17
Yanga S.C Dar es Salaam 2021–22

 

hivyo basi nazani umekwisha jionea kwamba ni timu gani iiliyo fanya vizuri kwa kipindi kirefu, Tuambie kwenye comment section hapo chini unafikiri siimba watafikia ushindi huu na kumzidi yanga kwa idadi ya makombe.

 

Comments

No comments has been added on this post

Add new comment

You must be logged in to add new comment. Log in
Im Ibrahim a multifaceted individual with a passion for cars, SEO, and marketing. Ibrahim is an Expert in the Automotive sector.
Cars, Marketing, SEO
Categories
Toyota
Find all information including price, information and news about Toyota cars
guides
car guides
Updates
Resources
You will find downloadable resources in this category, Mostly PDFs
Questions
Get quick answers to all your questions
Lately commented
Thank you
UBOS Census recruitment 2024 U...
SO NICE
UBOS Census recruitment 2024 U...
I like the website so much
UBOS Census recruitment 2024 U...
Tanga mjini gharama ya kuvuta maji shingap
Gharama za kuvuta maji 2024 | ...
Are you a professional seller? Create an account
Non-logged user
Hello wave
Welcome! Sign in or register