Toyota alphard ulaji wa mafuta

Toyota alphard ni moja ya gari inayo pendwa sana kwa matumizi ya safari za kifamilia, sasa leo tutaangalia ulaji wa mafuta wa Alphard soma nakala hii kupata taarifa kamili.

Toyota
8. Mar 2023
2021 views
Toyota alphard ulaji wa mafuta

Ni muhimu sana kufahamu matumizi ya mafuta katika gari yako hii itakusaidia sana hata katika safari zako ujue unaweka mafuta kiasi gani na utaendesha umbali mrefu kiasi gani, hivyo basi  inawezekana ungependa kuinunua au Tayari umekwisha inunua gari hii na bado Hujafahamu matumizi ya mafuta ya gari yako basi leo nitakujuza.

Mara kadhaa watu wamekua wakijiuliza maswali haya mara kwa mara

Je Alphard inakula mafuta kiasi gani?

Lita 1 ya mafuta ya Toyota Alphard inatembea umbali kiasi gani?

Je Toyota Alphard ni gari nzuri ya kununua

sasa katika Nakala hii nitajibu maswali yote yanayo husiana naulaji wa mafuta katika Toyota Alphard, Ningependa ufahamu kua Matumizi ya mafuta katika injini ya Gari yako Hutegemea mambo mbalimbali, kama vile hali ya uendeshaji, uzito wa gari, kiasi cha upepo, aina ya mafuta, na tabia ya kuendesha gari hiyo. 

Hata hivyo, haya ni makadirio tu hivyo basi Ili kupata makadirio sahihi zaidi ya gari mahususi, unaweza kuangalia vipimo vya mtengenezaji au kufanya jaribio la matumizi ya mafuta kwa kujaza tanki la mafuta, kuendesha umbali unaojulikana na kupima kiasi cha mafuta yanayotumika. Hii itakupa matumizi kamili ya mafuta kwa gari lako.

Ulaji wa mafuta wa Toyota Alphard

Toyota Alphard hutembea wastani wa Kilomita 11 kwa Lita 1 tu ya mafuta. hii ni kwa kutumia ujazo wa injini ya 2,360cc kama alphard yako itakua na ujazo tofauti basi matumizi yanaweza kutofatiana kidogo.

ndugu msomaji haya matumizi ni kwa alphard ikiwa mpya ila ikisha tumika kwa muda mrefu matumizi yanaweza kuongezeka kutokana na ubovu wa injini

sifa za Toyota Alphard

Make TOYOTA
Model ALPHARD
Body type WAGON
Year of manufacture 2006
country JAPAN
fuel type petrol
Engine capacity 2,360cc

Je Alphard ni gari nzuri?

Nina weza kusema ndio ni gari nzuri kwa matumizi ya familia na hasa matumizi ya mafuta. hivyo basi kama unahitaji gari yenye ukubwa wa kutosheleza familia basi gari hii itakufaa kwa matumizi yako.

unaweza ukasoma pia

Vanguard ulaji wa mafuta

 

Comments

No comments has been added on this post

Add new comment

You must be logged in to add new comment. Log in
Im Ibrahim a multifaceted individual with a passion for cars, SEO, and marketing. Ibrahim is an Expert in the Automotive sector.
Cars, Marketing, SEO
Categories
Toyota
Find all information including price, information and news about Toyota cars
guides
car guides
Updates
Resources
You will find downloadable resources in this category, Mostly PDFs
Questions
Get quick answers to all your questions
Lately commented
Thank you
UBOS Census recruitment 2024 U...
SO NICE
UBOS Census recruitment 2024 U...
I like the website so much
UBOS Census recruitment 2024 U...
Tanga mjini gharama ya kuvuta maji shingap
Gharama za kuvuta maji 2024 | ...
Are you a professional seller? Create an account
Non-logged user
Hello wave
Welcome! Sign in or register