Huu ndio mshahara wa aziz ki yanga

Stephane Aziz ki mchezaji wa yanga analipwa mshahara wa Takriban Milioni 25 Kwa mwezi sawa na dola za kimarekani 10,700. Na huyu ndio mchezaji anayelipwa zaidi katika soka la Tanzania na hata Afrika mashariki kwa ujumla.

Updates
27. Apr 2023
3771 views
Huu ndio mshahara wa aziz ki yanga

Mshahara wa stephane aziz ki ni mkubwa sana ukilinganisha na wachezaji wengine hapa tanzania. hata hivyo habari hizi ni za ndaani tu hivyo basi kiwango hicho kinaweza kua chini kidogo ya hapo au kizidi kidogo.

Mchezaji huyu yupo kwa mkataba katika timu ya young africans (yanga) na pindi mkataba wake utakapo kwisha basi uongozi wa club unaweza kuangalia kama waongeze muda wa kuendelea kuitumikia yanga au wasitishe makubaliano nae.

Mshahara wa Afisa ustawi wa jamii

Mshahara wa Askari magereza

Mshahara wa Aishi salum manula

Mshahara wa stephane aziz ki Yanga

Kwa siku Tsh 700,000
kwa wiki Tsh 5,000,000
kwa mwezi Tsh 25,000,000
kwa mwaka Tsh 300,000,000

Historia ya aziz ki

Aziz ki alizaliwa mwaka 1996, ni mchezaji anayecheza katika timu ya yanga kama midflider, ni raia wa ivory cost na anaiwikilisha timu ya taifa ya Burkina faso. Alianza kwa kucheza katika club ya Roque na baada ya mkataba wake kuisha akaenda timu ya Omonia na mkataba ulipo isha kwasasa anaichezea timu ya young africans iliyopo tanzania.

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni 9 akiwemo stephane aziz ki, Yanga ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani ''Timu ya Wananchi au Wanajangwani''. Timu hii Imepata kuwa mabingwa mara 27 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.

Soma pia: Simba na yanga nani mwenye makombe mengi

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu. mechi ya mwisho iliyo chezwa jumapili yanga na simba, simba aliibuka mshindi kwa magoli ya 2 kwa 0.

Je Yanga wanalipa wachezaji wao vizuri?

Klabu ya Yanga, klabu ya soka ya Tanzania, inakadiria kuwa watahitaji angalau shilingi bilioni 5 za Kitanzania (USD milioni 2.1) kwa mwaka kwa ajili ya mishahara ya wachezaji pekee kwa timu yao mpya yenye wachezaji wa kigeni wa gharama kubwa na muundo mpya wa uongozi wenye wataalam wengi.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa klabu hiyo, Hersi Said, ili kusajili timu nzuri kama hii ya sasa, angalau shilingi bilioni 1.5 za Kitanzania (USD 636,000) zinahitajika kwa ada ya uhamisho wa wachezaji, wakiwemo wachezaji ghali wa kigeni.

Hersi pia alisema kuwa kudumisha timu imara kunahitaji bajeti ya angalau shilingi milioni 300-400 za Kitanzania ($127,000 - $170,000 USD) kwa mwezi kwa mishahara ya wachezaji. Mbali na mishahara ya wachezaji, kuna gharama nyingine nyingi zinazohusiana na kuendesha klabu kubwa, kama vile gharama za usafiri, malazi na chakula, ambazo zinaweza kuongezeka haraka. Licha ya gharama hizo kuwa kubwa, uongozi wa Yanga unafanya kazi kubwa ya kutafuta fedha zaidi ili kuhakikisha klabu hiyo inakuwa endelevu kifedha.

Baadhi ya maswali yanayo husiana na Azizi ki

Aziz ki analipwa mshahara kiasi gani?

aziz ki analipwa zaidi ya milioni 25 kila mwezi na mkataba wake ni wa miaka miwili

je stephane aziz ki ni dini gani?

Aziz ki hajaweka wazi dini yake hivyo basi ni ngumu kuhitimisha kwa kusema kua ni dini ya upande gani

azizi ki ana magoli mangapi?

Aziz ki ana magoli 12 na assist 7 toka alipo jiunga na yanga 

Note : Magoli ligi kuu (8), magoli CAF (2), magoli FA (2) .. Assists ligi kuu (3), Assists CAF (2), Assists FA (1), Assist Ngao (1)

Sources:

mwananchi: Aziz Ki, Mayele mradi wa mabao Yanga

Wikipedia: Stephane Aziz Ki - Wikipedia

mwanasport:  Aziz Ki anakula Sh400 milioni, mishahara yapanda asilimia 100

Twitter user: Magoli ya aziz ki

 

 

 

 

 

 

 

 

Comments

No comments has been added on this post

Add new comment

You must be logged in to add new comment. Log in
Im Ibrahim a multifaceted individual with a passion for cars, SEO, and marketing. Ibrahim is an Expert in the Automotive sector.
Cars, Marketing, SEO
Categories
Toyota
Find all information including price, information and news about Toyota cars
guides
car guides
Updates
Resources
You will find downloadable resources in this category, Mostly PDFs
Questions
Get quick answers to all your questions
Lately commented
Thank you
UBOS Census recruitment 2024 U...
SO NICE
UBOS Census recruitment 2024 U...
I like the website so much
UBOS Census recruitment 2024 U...
Tanga mjini gharama ya kuvuta maji shingap
Gharama za kuvuta maji 2024 | ...
Are you a professional seller? Create an account
Non-logged user
Hello wave
Welcome! Sign in or register